.

.

Raisi wa Everton afariki dunia

ZePLAN | 08:35:00 | 0 comments

 

 
Sir Philip Carter
 
Raisi wa klabu ya Everton Sir Philip Carter
 
    Rais wa heshima wa klabu ya Everton Sir Philip Carter amefariki akiwa na miaka 87.
Taarifa iliyotolewa na klabu ya Everton imethibitisha kifo hicho na Kueleza Carter alifariki akiwa nyumbani kwake Alhamisi asubuhi baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Carter, alikua mshabiki wa timu hii tangu utotoni ambapo mwaka 1973 alijiunga na timu kama mkurugenzi na mwaka 1978 akawa mwenyekiti wa timu.
utoto Everton shabiki, alijiunga na klabu kama mkurugenzi mwaka 1973. Yeye alipata nafasi ya mwenyekiti mwaka 1978 na aliendelea ataongoza kipindi cha mafanikio ndani na Ulaya
Wakati wa uongozi wake kama mwenyekiti akiwa na meneja Howard Kendall ,Carter , alishinda mataji mwaka ya FA cup 1985 na 1987, 1984 na Kombe la Ulaya 1985.
Alichaguliwa kuwa Raisi wa heshima wa maishan wa timu ya Everton mwaka 2004.

 

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments