Ubalozi wa korea kusini washambuliwa
Watu wasiojulikana wameushambulia ubalozi wa
Korea Kusini kwenye mji mkuu wa Libya Tripoli
ambapo walinzi wawili wa ubalozi huo waliuawa.
Wizara ya mashauri ya kigeni nchini Korea Kusini
imesema kua watu hao walifyatua risasi
wakilenga ubalozi huo wakiwa ndani ya gari.
Hakuna raia yeyote wa Korea Kusini aliyeripotiwa
kujeruhiwa wakati wa shambulizi hilo.
Category:
0 comments