.

.

BI HILARRY CLINTON AMKASHIFU DONALD TRUMP NI KUHUSU WAISLAM

ZePLAN | 01:02:00 | 0 comments


 Picha juu Bi.Hilarry Clinton 

Mgombea wa urais kupitia chama cha Democratic, nchini Marekani, Bi. Hilarry Clinton amemkashifu mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump na kumuita kuwa mtu hatari.
Amesema kuwa hamuoni tena kuwa mtu mcheshi kufuatia matamshi yake ya kutaka Waislamu wazuiwe kuingia nchini Marekani.
Kwa upande wake Trump aliuambia mkutano mmoja kuwa watu wengi wanaamini kuwa aliyoyasema ni mazuri.


Picha juu Donald Trump

Nchini Uingereza wito kwa njia ya mtandao ya kulitaka bunge la nchi hiyo kumzuia Trump kuingia nchini Uingereza umepata uungwaji mkono wa watu nusu milioni.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments