.

.

MZOGA WA NYANGUMI WAPATIKANA UFUKWENI

ZePLAN | 14:56:00 | 0 comments


 Mzoga wa nyangumi wapatikana ufukweni



Mzoga wa nyangumi umepatikana ufukweni nje ya mji Capetown Afrika Kusini.

Mzoga huo unaaminika kusombwa na maji ya bahari na kukwama kwenye mwamba.

Haijabainika kilichosababisha kifo cha nyangumi huyo.

 
Haijabainika kilichosababisha kifo cha nyangumi huyo. 
 
Taarifa zinasema kuwa maafisa wa afya wa umma wametangaza kuwa ufukwe huo utafungwa kwa umma leo, ilikufanikisha shughuli ya kuondoa mzoga huo uliowavutia halaiki ya watu mapema leo.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments