.

.

SHULE YA SEKONDARI IYUNGA ILIOPO MBEYA YATETEKETEA KWA MOTO

ZePLAN | 16:11:00 | 0 comments

Askari wa Kikosi cha zimamoto Jijini Mbeya  akiendelea na jitihada za kuuzima moto.
 Shule ya Sekondari Iyunga imeteketea moto wakati bado chanzo cha moto huo hakija julikana hata hivyo Askari wa zima moto walifika nakuanza kukabiliana na moto huo nakuweza kuweza kuudhibiti  huku hali ikiwa ni mbaya sana hususani katika maeneo ya mabweni.

  


Kikosi cha Zimamoto Jijini Mbeya, kikiendelea na jitihada za kuuzima moto huo.

 

Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Iyunga jijini Mbeya, wakiwa nje ya Shule yao wakiangalia bila kujua cha kufanya wakati Mabweni yao yakiteketea kwa moto.




Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments