.

.

AL -SHABAB WAFANYA SHAMBULIO NAKUUWA WATU TISA KARIBU NA IKULU YA RAIS

ZePLAN | 02:04:00 | 0 comments


Shambulio la Al shabab Somalia


Polisi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu wanasema kuwa wanamgambo wa al-Shabab wamewaua takriban watu 9 wakati wa shambulizi kwenye hoteli moja iliyo karibu na ikulu ya rais.

Ripoti zinasema kwa mshambuliaji wa kujitolea muhanga aliendesha gari katika lango la hoteli hiyo kabla ya watu waliokuwa na silaha kuingia ambapo ufyatulianaji wa risasi ulianza na walinzi wa hoteli.

Kundi la wanamgambo la Al Shabaab linesema kuwa lilitekeleza shambulizi hilo

Al Shabab walikuwa wikidhibiti sehemu nyingi za mji wa Mogadishu kabla ya kuondoka lakini wanaendesha mashambulizi ya mara kwa mara.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments