.

.

AL-SHABAB WAVAMIWA NA MAJESHI YA KIGENI KUSINI MWA SOMALIA

ZePLAN | 03:41:00 | 0 comments


Wanajeshi makamanda wa kigeni wamefanya uvamizi wakitumia ndege aina ya helkopta katika kambi moja ya wanamgambo wa al-shabab karibu na mji ulio kusini mwa Somalia wa Awdhegele.

Wanamgambo hao walifanikiwa kuwatimua lakini wakampoteza mmoja wa wapiganaji wao kwa, mujibu wa msemaji wa al-shabab alipozungumza na shirika la habari la Reuters.
Image result for MSEMAJI WA AL SHABAB

"Walikuwa wamefunika nyuso zao na walizungumza lugha ambayo wapiganaji wetu hawakuielewa. Hatuwafahamu lakinia tulifanikiwa kuwatimua, msemaji huyo alinukuliwa akisema.

Afisa mmoja wa eneo hilo Mohamed Aweys, alithibitisha uvamizi huo uliotokea umbali wa kilomita 50 magharibi mwa mji mkuu Mogadishu.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments