Rais Mugabe aliulizwa nani atakayemrithi wakati wa sherehe ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Kiongozi huyo ambaye amekuwa uongozini tangu 1980 ametimiza umri wa miaka 92.
"Mbona unamtaka mrithi?" alimwuliza aliyekuwa akimhoji. “Unataka nikutwange ngumi uanguke chini ndipo uamini kwamba bado nina nguvu?”, gazeti la serikali ya Herald limemnukuu. Bw Mugabe, alisema hatastaafu katikati mwa muhula wake wa sasa, ambao ulianza 2013.
Category:
About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!
Related posts:
If you enjoyed this article, subscribe to receive more just like it.