OBAMA AKOSOLEWA NA MTOTO WA MFALME WA SAUDI ARABIA
Mwanamfalme wa cheo
cha juu nchini Saudi Arabia, amekosoa vikali madai ya rais wa Marekani
Barack Obama kuwa nchi yake haijafanya jitihada kuisaidia Marekani
kukabiliana na matatizo yaliyo eneo la mashariki ya kati.
Mwanamfalme huyo pia amesema kwa Saudi Arabia imetoa habari za kijasusi zilizozuia kutokea mashambulizi ya kigaidi nchini Marekani.
Category:
0 comments