Rais wa Vietnam, Trung Tan Sang amehutubia katika mkutano wa kujadili mahusiano ya Tanzania na Vietnam katika sekta ya biashara na uwekezaji ambapo ameahidi nchi yake kushirikiana na Tanzania katika kufanya biashara ili kukuza ushirikiano na uchumi baina ya mataifa yote mawili.

IMGS7625 
Rais wa Vietnam, Trung Tan Sang akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016.

IMGS7659 
Baadhi ya washiriki wa  mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietnam uliofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. 

IMGS7676 
Rais wa Vietnam, Trung Tan Sang akiteta  na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika  mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. 

IMGS7702 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Vietnam, Trung Tan Sang kuhutubia  mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. 

IMGS7706
IMGS7716 IMGS7721 
Rais wa Vietnam, Trung Tan Sang akimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alizungumza na kumkaribisha Rais huyo kuhutubia   mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. 

IMGS7734 
Rais wa Vietnam, Trung Tan Sang akihutubia mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016.

IMGS7807Rais wa VietnamTrung Tan Sang (kuliakwa Waziri Mkuu) na Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja badhi ya viongozi na wafanyabiashara wa Tanzania na Vietinam  baada ya mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016.
IMGS7815 
Rais wa Vietnam, Trung Tan Sang akiongozwa   na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kutoka katika  mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam uliofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS7825