SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MH NDUGAI AKUTANA NA RAIS WA VIETNAM KWA AJILI YA MAZUNGUMZO
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai
akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong
Tan Sang leo mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya
Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (wa pili
kushoto) akiongea na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunhgano wa Tanzania
(hayupo pichani) mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli
ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia)
akiongea na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan
Sang (hayupo pichani) leo mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo
katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Anayemfuatia ni Naibu Spika wa Bunge hilo, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
Rais wa
Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (wa pili
kushoto) akiongea na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(hayupo pichani) mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli
ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (wa pili
kushoto) na wajumbe wake akiongea na Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania (kulia )
walipokutana kwa ajili
ya mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es
Salaam.
Baadhi
ya wajumbe aliofuatana nao Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam,
Mhe. Truong Tan Sang wakifuatilia mazungumzo yao jana walipokutana katika Hoteli ya Kilimanjaro
Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akiongea na baadhi ya vyombo vya habari mara baada ya kukutana na Rais
wa Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam.
Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akiongea na baadhi ya
vyombo vya habari baada ya mkutano kufanyika kati ya Rais wa
Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang na Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan
Sang (katikati) na Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson wakiwa
katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo wengine ni baadhi
ya wajumbe toka nchi ya Vietnam na Tanzania.
Category:
0 comments