SHIRIKA LA POSTA LAJA NAHUDUMA MPYA
Mgeni
rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akimkabidhi
Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania
(TPC), Fortunatus Kapinga, moja ya kifurushi kwa ajili ya kupelekwa kwa
mteja wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akimkabidhi Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, moja ya kifurushi kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, huku akishuhudiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora (kushoto) na Mwakilishi wa Umoja wa Posta Barani Afrika (PAPU), Naibu Katibu Mkuu, Kola Aduloju (mwenye miwani kulia).
Juu na Chini: Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, akimkabidhi moja ya kifurushi hicho, mfanyakazi wa Posta kwa ajili ya kukipeleka nyumbani kwa mteja wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Mwakilishi wa Umoja wa Posta Barani Afrika (PAPU), Naibu Katibu Mkuu, Kola Aduloju, akitoa hutuba yake katika uzinduzi wa huduma hiyo.
Meneja Msaidizi wa Biashara ya Barua, Jason Kalile akitoa maelezo wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akibonyeza kitufe cha kompyuta kwa ajili ya kuzindua rasmi huduma hiyo, huku akishuhudiwa na Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga (wapili kushoto), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Maria Sasabo (katikati).
Mgeni
rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto),
akimkabidhi Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta
Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, moja ya kifurushi kwa ajili ya
kupelekwa kwa mteja wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Mgeni
rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akimkabidhi
Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania
(TPC), Fortunatus Kapinga, moja ya kifurushi kwa ajili ya kupelekwa kwa
mteja wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, huku akishuhudiwa na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa
Faustin Kamuzora (kushoto) na Mwakilishi wa Umoja wa Posta Barani
Afrika (PAPU), Naibu Katibu Mkuu, Kola Aduloju (mwenye miwani kulia).
Category:
0 comments