.

.

AL SHABAAB WAUWA WANAJESHI 30

ZePLAN | 00:37:00 | 0 comments


               Picha juu wanamgambo wa  Al Shabab           
Wapiganaji wa Kiislamu wa Somalia, Al Shabab wanasema wamewauwa wanajeshi wa serikali zaidi ya 30.
Al Shabab, wanadai kutekeleza mauaji hayo walipoteka tena kijiji cha Runorgood, Kaskazini-Mashariki mwa mji mkuu wa Somali Mogadishu.
Wenyeji wa kijiji hicho wamesema, kwamba kijiji chao kinadhibitiwa tena na wanamgambo wa Al Shabab.
               
Wapiganaji hao walikuwa wametimuliwa kutoka kijiji hicho hapo jana.
Kwengineko nchini Somalia, watu kama watatu waliuwawa, kwenye shambulio la bomu, katika soko la mifugo huko Qoryoolay, inavoelekea shambulizi hilo lililengwa maafisa wa kukusanya kodi wa serikali.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments