.

.

SILAHA HARAMU ZAKAMATWA MKOANI TABORA

ZePLAN | 01:49:00 | 0 comments

Picha juu :Waziri wa mambo ya ndani mkoani Tabora
Waziri wa mambo ya ndani Mh Mwigulu Nchemba katika ziara yake mkoani Tabora ameendelea kuendelea kuhakikisha nchi inakuwa katika usalama kwa kuendelea kukabiliana na wamiliki wa silaha kinyume na sheria 

Akiwa mkoani humo silaha kadhaa haramu  zilitiwa mikononi mwa polisi na hatua za kiusalama zaidi zikiendelea kuchukuliwa  ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na amani na utulivu

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments