.

.

BIASHARA YA MTANDAO

ZePLAN | 15:59:00 | 1 comments

Leo ningependa kuzungumzia biashara ya mtandao na namna watu wengi wanavyofikia malengo yao kupitia biashara hii.
Asilimia 95% ya watu wote duniani hutegemea kuajiliwa inawezekana hata wewe ukawa miongoni mwao lakini sipendi kukuhukumu kwa hilo labda tuu kwa sababu haujaipata fursa ya kujiajili lakini sasa cha ajabu asilimia nikwamba takwimu inaonyesha kwamba asilimia 99% ya watu walio ajiriwa wanakufa masikini unajua kwa nini?
Wanapata changamoto ya kipato  .Je unajua namna gani unaweza ukatengeneza kipato?
Je umeshawahi kufikiri kuhusu kustafu na maisha baada ya kustaafu?
Napenda kuchukua fursa hii adhwimu kukupa kwa uchache fursa ambayo itakutengenezea kipato cha ziada au kipato kisicho na kikomo fursa hiyo ni biashara ya mtandao:

Haya ndiyo majibu yaliyotoka kwa wadau
wanaofanya biashara hii kwa hapa Tanzania
ambayo ina ofisi zake mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Arusha,Mbeya na Dodoma.

KWA NINI UFANYE HII BIASHARA YA MTANDAO?

Utafiti unaonyesha
Ukifanya kazi miaka 60 = Utapata Pensheni
ya Tsh 100,000,000/=
Lakini ndoto zako ni kupata milioni 100 kabla
ya umri wa miaka hiyo,
Maana yake utafanikiwa kuapata
100,000,000/= muda ambao utakuwa hauna
uwezo wa ku enjoy life style yako,Ukiajiriwa
miaka 60,maana yake kuna miaka 6 itapotea
bila wewe kuzalisha
chochote,..Suluhisho:Ukifanya biashara ya
Mtandao ya FLP unaweza kupata
100,000,000/= ndani ya miaka 4 au 5 tu..je umeshajiuliza kivipi?Hii ni biashara
inayohusika na usambazaji wa bidhaa za
kimarekani ambazo zinahusika sana katika
urutubishaji miili yetu Mfano Nguvu za
Kiume,Mayai ya wanawake,Sabuni,Vipodozi
aina zote,Asali,Sabuni,Kupunguza/Kuongeza
unene,Kisukari,Presha,Vidonda vya tumbo
n.k.na bidhaa zote hizi zinatengenezwa kw
mmea wa Aloe Vera,asali ya nyuki wadogo,magome ya miti, mboga mboga na matunda.Hadi sasa watanzania 6,000 wameiona fursa hii kati ya watanzania 43,000,000 hii  inamaanisha ni watu
wachache sana wameona hii fursa?Jiulize
wakifika hata 20,000 tu wewe si utakuwa
tayari umetimiza ndoto zako?Kipato na faida
katika fursa hii kinapatikana kwa njia
zifuatazo:-
Utaweza kutumia Bidhaa za kampuni hii
ambazo ni namba moja duniani kwa bei ya
jumla.
Ni biashara ambayo waweza kumrithisha
mwanao,mkeo au mumeo hata ukiwa haupo
kwa namba yako ile ile ya usajili,ndiyo
Maana Inaitwa Forever Living Business
maana yake haifi.
Kila atakayeanza biashara chini yako kwa
bidhaa za Tsh.750,000/= Utapata 150,000/=
Kila atakayeanza biashara chini yako kwa
bidhaa za Tsh.375,000/= Utapata 75,000/=
Kila atakayeanza biashara chini yako kila
atakachofanya(Mauzo) wewe utapata gawio
la 5% ya Faida yake ktk maisha yako yote.
Kishafika Kiwango cha meneja,utaweza
kusafiri duniani kote kwa kulipiwa gharama
zote na kampuni hii ambayo kwa sasa ni
namba 6 kwa biashara ya Mtandao (Network
Marketing) Duniani.
Jiulize,Je una uwezo wa kusafiri mara ngapi
na familia yako kama mapumziko?je una
vipato vingapi vya ziada?je hiyo kazi yako
unayoifanya lini itaweza kutimiza ndoto za
maisha yako?Karibu Forever Living Utimize
Ndosto zako kwa kujiingizia kipato
endelevu..Pia kwa sasa vijana wengi
wamesoma na ajira hakuna,je tunaweza
kuajiriwa wote kweli?njoo jiajiri uone raha ya
kuwa bosi wa maisha yako kupitia Forever Living
Kianzio ni kidogo sana unahitajika  uwe na Mtaji wa Tsh 400,000/= au 800,000/= tu,hata kama una mtaji
kuanzia Tsh 300,000 na unataka kujikwamua tutakusaidia ili uweze kufikia malengo yako
Tutafute kwa simu namba +255 657 199 199

Karibu sana tufanikiwe pamoja.
OCHUMKWANJA Blog inawashauri watu wote
kujipima na kuona jinsi gani wanaweza
kujikwamua kimaisha kwasababu tunakabiliwa na janga kubwa la ukosefu wa ajira hii
inaweza ikawa njia au sababu ya wewe  kujipatia ajira na kujitengenezea kipato cha ziada au kisicho na kikomo

Nawapenda wote
Kwa maoni na ushauri usisite kututumia ujumbe kupitia ;   ochec54@gmail.com
simu :+255 657 199 199

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

1 comment: