TIBA YA MENO NA USAFI WA KINYWA
Habari zenu mabibi na mabwana leo
katika ukurasa wa kipato napenda
kuzungumzia au kugusia suala zima la
kinywa na usafi wake .
Inawezekana kabisa ulijikaza wakati wa
msiba wa baba,mama au ndugu yako
wakaribu kabisa au pengine mpenzi
wako lakini linapokuja suala zima la
maumivu ya jino ujasiri huo huwa
unakosekana kabisa na hata kama
nimwanaume washoka utamkuta kwa
unyonge na simanzi akiwa anaugulia
maumivu na hata wakati mwingine machozi
yakimtoka kwa kushindwa kuhimili
maumivu hayo ,ninapoandika kuhusu
suala hili maana yake nagusa watu
takribani ya mamilioni ambao walisha
wahi kuguswa au kukumbwa na hadha
hii yakuumwa meno duniani kote wakati wengi wetu huishia
kupoteza meno yetu kwa kuyangoa nahapo ndio tunaona tumepata suluhisho la kudumu kwanafasi hii ningependa kuwapa pole
watu wote waliokumbwa na wanaokabiliwa na tatizo hili kubwa
la maumivu na kindumbwendumbwe
cha kupoteza jino/meno
Swali langu je ikiwa unamiaka 22 na
tayari umepoteza meno matatu au
manne je ikifika miaka 50 kinywa chako
kitabaki na meno mangapi ?
Ikiwa umepata mashaka juu ya swali
hilo swali la pili umeshafikiria namna ya
kulinda na kuyafanya meno yako kuwa
imara?
Je njia hiyo ni sahihi?
Napenda kuchukua fursa hii kwa
kukupasha habari juu ya alovera bright
iliotengenezwa kwa mchanganyiko wa
asali na mmea wa alovera inawezekana
umeshawahi kusikia lakini haukupata
bahati yakutumia
KAZI ZAKE
Kuuwabacteria na kuyapa uimara meno
yako yasishambuliwe na bacteria ,pia
kungarisha meno na kusaidia
kuponyesha vidonda vilivyopo kinywani
kwa sababu ya mchanganyiko wa asali
na kama tunavyojua asali ni tiba sana
kwa vidonda
Naikiwa mtu kavimbiwa pia anaweza
akatumia alovera bright kuondoa tatizo
hilo la kuvimbiwa bila kusahau kama
umeungua unaweza ukatumia kwa
huduma ya kwanza.
Utastaajabu kwa nini baadhi ya dawa za
meno zinakataza au zinakuwa na onyo
kwamba usimeze na wakati huo huo
Alovera Bright inakuruhusu wewe
mtumiaji kulamba/kumeza?
Ukweli ni kwamba bidhaa hii haina
kemikali yeyote kama nilivyokwisha
kueleza kwamba bidhaa hii
imetengenezwa kwa mchanganyiko wa
asali na alovera tuu wakati bidhaa
zingine zinakuwa na mchanganyiko wa
floride ambayo kitaalamu inasemekana
kwamba floride ni chanzo kikubwa cha
kansa ya koo epuka kansa kwa kutumia
bidhaa ya alovera bright leo.
Swali langu kwako
Wewe baba/mama unaelewa hayo
maelezo yanayokukataza usimeze je
watoto wetu hawa wadogo wanalijua
hilo?
Umetengeneza mazingira gani kuiokoa
familia na kizazi chako kutokana na
kansa ya koo?
Haujachelewa unanafasi yakuikoa
familia yako kutokana na janga hili,kwakununu bidhaa hii mapema,
Mwisho napenda kusema sema
maumivu ya meno sasa basi,kansa
yakoo basi ,kuvimbiwa basi .
Kwa mahitaji ya alovera bright usisitekuwasiliana nasi kupitia: +255 657 199 199 fanya order yako mapema
Kwamaoni na ushauri
ochec54@gmail.com
Category:
0 comments