Namna ya kupunguza Uzito na unene wa mwili kwa kutumia vitamins
Habari zenu mabibi na mabwana leo katika ukurasa huu ningependa kuzungumzia namna ya kupunguza unene kwa kutumia vitamin(CLEAN9).
Kama ilivyo kawaida, mara nyingi wengi wetu tunaamini kuwa unene ni afya au kuwa bonge ni kuwa na afya imara, lahasha! sio kila mtu mnene basi anaafya nzuri au kuwa kibonge ndio kuwa na afya ,Walio wanene wengi huwa hawafurahii miili yao na mara nyingi hutafuta njia mbadala ya kupunguza miili yao leo natumia fursa hii kukupa njia iliosahihi kabisa yenye kutumia mpangilio mzuri wa chakula ,juisi na suppliment ambazo ni vitamins zilizotengenezwa kwa mmea wa alovera na asali, bidhaa hizi hazina kemikali yeyote na mtu wa dini yeyote anaweza kuzitumia .
Nasema kwa kujiamini na ujasiri kwa sababu bidhaa hizi ndizo zilizo msaidia rafiki yangu kupungua kilogramu 5 ndani ya siku tisa,hilo linawezekana hata kwako,ni wewe tu kuamua wakati na saa ya kuanza mchakato huu kwa sasa nafurahi kumuona rafiki yangu aliekuwa akikerwa na jina la kuitwa bonge,tipwaripwa kuwa jina lile haitwi tena na imebaki stori tuu.
Mchakato huu ni wamda mfupi sana na wenye mafanikio kama utafuata maelezo na kufanya kama vile maelezo yatakavyo kuelekeza labda jina la bidhaa inaitwa CLEAN 9.
CLEAN 9 ni nini na ina nini??
Ni vitamin vyenye m
mchanganyiko
wa bidhaa nne (Alovera Gel chupa 3, Ultra Lite,
Bee pollen na Garcinia.
Na inaitwa clearn 9 kwa sababu matumizi yake ni ndani ya siku tisa na ufanyaji kazi wake ni wa hali ya juu sana , Pia ina tape measure
pamoja na chupa ya kupimia)
Ina kitabu cha muongozo wa jinsi ya kutumia.
CLEAN 9 ni muhimu katika kupunguza mwili
kwasababu inafanya kazi ya kusaidia mfumo wa mwili kuondoa mafuta ,uvimbe na uchafu wote uliopo kwenye utumbo
-husaidia kupunguza mwili na kuondoa kitambi.
-husaidia kuondo mafuta mwilini na kuweka mwili wako katika hali ya usawa.
-kuondoa uvimbe wa ndani na nje ya mwili .
-kusaidia kwa wenye matatizo ya aleji
-husaidia kuongeza kinga ya mwili na kukuweka mwili imara na mashambulizi ya magonjwa
-kuweka mfumo sawa mfumo wa mmengenyo wa chakula.
*fanya order yako mapema tutakufikia popote ulipo karibuni sana
Kwa mahitaji au maswali piga namba ; 0657 199 199
Picha chini ni dada alietumia bidhaa hii na matokeo mazuri kama tunavyoiona.
Category:
0 comments