.

.

WASI WASI WATANDA UJERUMANI,UFARANSA,URUSI NA UKRAIN

ZePLAN | 03:51:00 | 0 comments

    

Waasi Mashariki mwa Urain
Mawaziri wa mashauri ya kigeni wa Ujerumani , Ufaransa , Urusi na Ukrain wameelezea wasi wasi uliopo kufuatia kutokea kwa mapigano mashariki mwa ukrain na kikiukwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyoafikiwa mwezi Februari.
Baada ya mazungumzo yaliyofanyika mjini Berlin waziri wa mashauri ya kigeni wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier aliwaambia waandishi wa habari kuwa kati ya silaha ambazo zitaondoa ni pamoja na vifaru.
Pande hizo mbili zilionekana kuheshimu makubaliano hayo hadi kulipotokea mapigano ya hivi majuzi kwenye uwanja wa ndege wa Donetsk na kijiji cha Shyrokyne nje ya mji wa Mariupol.
Pande hizo pia zimekubaliana kuendelea kubadilishana wafungwa.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments