.

.

Ndugu wa mshambuliaji Adebayo aibuka na yafuatayo

ZePLAN | 20:23:00 | 0 comments

Ndugu ya mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Emmanuel Adebayor ameomba msamaha baada ya nyota huyo kumshtumu katika mtandao wa facebook na watu wengine wa familia yake.
Rotimi Adebayor amesema kwamba anaomba msamaha kwa makosa aliyofanya,na kwamba angependelea nduguye arudi katika familia.
Emmanuel Adebayor ambaye pia anaichezea Togo alisema wiki iliopita kwamba mzigo wa kifedha wa kuisadia familia yake pamoja na ugomvi katika familia yake umemuahiribia kazi yake.
Amesema kuwa anazitaka familia nyangine barani afrika kupata funzo kutoka kwake.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments