.

.

DK MPANGO ATOA NAMBA ZA SIMU KWAAJILI YA KUTOA TAARIFA WATENDAJI WASIO NA MAADILI OFISI ZA TRA

ZePLAN | 11:43:00 | 0 comments

Picha juu ikimuonyesha Dk Mpango akizungumza na waandishi wa habari
 Kasi ya Rais John Pombe Magufuli imeendelea vyema baada ya baadhi ya sekta kuanza kuchapa kazi kwa weredi na kuanza kuwajali wateja wao  na kuwathamini kuliko ilivyokuwa hapo awali.
Hili limejitokeza mara baada ya ziara za kushtukiza na Rais kutangaza kutokumfumbia mach mtendaji yeyote asie fanya kazi yake katika maadili.

Ikitokea huko TRA Dk Mpango ametaja namba za simu na kuomba wananchi waripoti taarifa zinazohusu watumishi wa ofisi ya Mamlaka na Mapato Tanzania (TRA), wanaojilimbikizia mali kinyume na kanuni za utumishi wa umma.

Pia ameomba namba hizo zitumike kutoa taarifa kuhusu kero wanazokumbana nazo wananchi katika ofisi za TPA.
  • Piga simu 0689 122 515
  • Tuma ujumbe mfupi wa maneno (sms) 0689 122 516
Pia ametoa namba yake kuwa ni 0787 570 714 na ya Naibu wake kuwa ni 0784 228 095

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments