.

.

MAREKANI:MMAREKANI ALIE JIUNGA NA AL-SHAABABU ATIWA NGUVUNI

ZePLAN | 12:35:00 | 0 comments

Garissa

Raia wa Marekani ambaye alijiunga na kundi la wapiganaji wa Kiislamu wa al-Shabaab nchini Somalia amekamatwa.
Afisa wa serikali ya Somalia amesema  kwamba Mwamerika huyo alikamatwa na wanajeshi kusini magharibi mwa Mogadishu akiwatoroka wapiganaji pinzani wa Kiislamu.
Hii ni baada ya wenzake kuuawa kwenye vita vya kambi pinzani ndani ya kundi hilo.
Mkuu wa wilaya ya Barawe Hussein Barre Mohamed amesema ingawa mwanamume huyo amekuwa Somalia kwa muda mrefu, hakuweza kuzungumza Kisomali.
Kundi la Al-Shabab huegemea mtandao wa al-Qaeda, lakini baadhi ya makundi yamehama na kujiunga na kundi linalojiita Islamic State.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments