BEN CARSON AMEMUUNGA MKONO ALIEKUWA MPINZANI WAKE DONALD TRUMP
Aliyekuwa mgombea wa urais kupitia
chama cha Republican Ben Carson amethibitisha kwamba anamuunga mkono
aliyekuwa mpinzani wake Donald Trump katika kinyang'anyiro cha urais
nchini Marekani.
Bwana Carson ,aliye kifua mbele aling'atuka wiki iliopita baada ya kushindwa kuungwa mkono.
Ni mgombea wa pili kumuidhinisha bwana Trump baada ya Gavana wa jimbo la New Jersy Chris Christie.
Category:
0 comments