RAIS WA ANGOLA KUACHIA MADARAKA BAADA YA KUONGOZA NDANI YA MIAKA 40
Rais wa Angola Jose Eduardo Dos
Santos anasema ana mipango ya kung'atuka mamlakani ifikiapo mwaka 2018
baada ya kuongoza nchi hiyo kwa karibu miaka 40.
Mwaka wa 2001 bwana Dos Santos alisema kuwa angewania muhula mwingine lakini badala yake akabakia madarakani.
Angola ni ya pili katika kuzalisha mafuta lakini uchumi wake umeathirika pakubwa na kushuka kwa bei za mafuta
Kwa sasa Angola iko kwenye mazungumzo na benki kuu ya dunia na shirika la fedha duniani ili iweze kupewa msaada wa fedha.
Category:
0 comments