JESHI LA POLISI KITENGO CHA USALAMA BARABARANI CHAKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 500 KAMA FAINI TAZAMA VIDEO HAPA
Uzembe
wa Madereva wanapokuwa barabarani umeingiza zaidi ya Milion 500 kwa Jeshi la
Polisi kanda maalum kupitia kitengo cha usalama barabarani, Polisi Kanda
maalum DSM kupitia kitengo cha Usalama Barabarani kimefanikiwa kukamata
magari mbali mbali kwa makosa ya usalama barabarani jumla ya Tshs
577,831,000 zimekusanywa ikiwa ni tozo kwa makosa hayo.
Aidha
madereva wametakiwa kuwa waangalifu pindi wawapo barabarani ili kuepuka
adhabu zitolewazo na vipato hivyo viwasaidie katika maisha yao ya kila
siku.
Video ya Kamanda Siro akitoa taarifa ya makosa ya usalama barabarani.
Category:
0 comments