KOREA KASKAZINI KUJARIBISHA TENA MABOMU YA NYUKLIA YALIOTENGENEZWA NA WANASAYANSI NCHINI HUMO
R
Kiongozi wa Korea
Kaskazini, Kim Jong-Un ameamrisha majaribio zaidi ya kinyukilia
yakitumia mabomu yasiyokuwa na nguvu, ambayo anasema wanasayansi wa nchi
yake wametengeneza.
Awali kiongozi huyo alisema wanasayansi wa nchi yake wamefanikiwa kupunguza ukubwa na mabomu ili yaweze kuwekwa kwenye makombora.
Waandishi wa habari wamesema ikiwa hili litathibitishwa, hii itakua tishio kubwa kwa Korea Kusini na nchi nyingine zilizoko kwenye kanda hiyo.
Category:
0 comments