.

.

PETER MSECHU KUACHIA NYIMBO MPYA LEO

ZePLAN | 04:43:00 | 0 comments

Machi, 18 ni tarehe ya kuzaliwa kwa msanii Peter Msechu ambapo kwa kusherekea siku hiyo ameachia nyimbo ambayo ameipa jina la Nikumbatie Bwana.

Nyimbo hiyo Msechu anaimba akimshukuru Mungu na kumuomba kuzidi kumsaidia katika maisha yake.


Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments