.

.

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ASIMAMISHA ZOEZI LA MALIPO (BOT)

ZePLAN | 02:10:00 | 0 comments

bot1
Kusitishwa kwa malipo hayo ni matokeo ya ziara ya kushtukiza ya Mh rais Magufuli katika benki kuu  ,ambapo imegundulika kuna wafanyakazi hewa ambao wanalipwa mishahara na huduma zingine kitu ambacho kinasababisha serikali kuingia gharama kubwa kwa kitu kisichokuwepo. 
Moja ya picha chini ikionyesha ziara ya Rais Magufuli akiwepo bank kuu

Rais Magufuli

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments