ATLETICO MADRID WAICHABANGA BAYERN MUNICH MOJA KWA NUNGE
Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya hatua ya nusu fainali imeendelea tena jana, Atletico Madrid wakipata ushindi dhidi ya Bayern Munich katika uwanja wa Vicente.
Atletico waliibuka na ushindi wa bao 1-0, bao lililofungwa na Saul Niguez.
Timu hizo zitakutana tena wiki ijayo ikiwa ni mchezo wa mwisho kuweza kumpata mshindi atakayecheza hatua ya fainali ya michuano.
Category:
0 comments