TRUMP HAELEWI SERA ZA KIGENI ASEMA OBAMA
Mgombea wa kiti cha
urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican Donald Trump, hana
ufahamu wowote wa sera za kigeni wala maswala ya ulimwengu!
Haya ni kulingana na rais wa Marekani Barrack Obama.
Obama
ameyasema haya kufuatia matamshi ya Donald Trump kuwa wanajeshi wa
Marekani wanafaa kuondoka Japan na Korea Kusini, na mataifa hayo yanafaa
kutengeneza zana zao za kinyuklia.
Mataifa hayo mawili pia hayakufurahishwa na matamshi ya bwana Trump.
Category:
0 comments