TAZAMA VIDEO MPYA YA MLIMBWENDE YEMI ALADE AKIMSHIRIKISHA MR FLAVOUR HAPA
Tarehe 18 ya mwezi huu YEMI ALADE mlimbwende kutoka nchini Nigeria akishirikiana na MR FLAVOUR na yeye kutoka nchini humo humo Nigeria wameweza kuviweka katika pilikapilika vituo mbalimbali vya luninga na redio katika bara la Afrika kwa kuonesha video mpya inayoenda kwa jina la KOM KOM .
wasanii hawa wawili wanazoa umaarufu mkubwa kwa kazi zao nzuri lakini pia umaarufu wao unaendana na ushirikiano wao mkubwa na wasanii wengi waliopo nchini Tanzania
Bofya hapo chini kutazama video hiyo......
Category:
0 comments