Home �
� RAIS WAZAMANI WA MAREKANI GEORGE BUSH ALAZWA
ZePLAN |
01:01:00 |
0
comments
Vyombo vya habari nchini Marekani
vimesema kuwa aliyekuwa rais wa taifa hilo George Bush anapata matibabu
katika hospitali moja ya Houston katika jimbo la Texas.
Maelezo
kuhusu hali yake hayajatolewa ,lakini mkuu wa wafanyikazi wake
amenukuliwa akisema kuwa bw Bush aliye na umri wa miaka 92 yuko katika
hali nzuri na kwamba huenda akatolewa na kwenda nyumbani katika siku
chache zijazo.
Bush kama marais wengine wa zamani anatarajiwa
kuhudhuria kuapishwa kwa rais mteule wa Marekani Donald Trump katika
sherehe itakayofanyika siku ya Ijumaa.
Category:
About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!
0 comments