• Home
  • About
  • Find Us
    • Facebook
    • Twitter
    • Google +

Ochu Mkwanja

  • About Us
  • Static Page Sample
  • Contact Us
    • Kang Ismet
    • Contact on Facebook
    • Contact on Twitter
    • Free Template Design
  • Entertainment
  • Health
  • World News
  • Videos
  • Image
  • Download
  • More
    • Editorial
    • Off Topic

.

.

Home � � PAPA FRANCIS ATUA UGANDA

PAPA FRANCIS ATUA UGANDA

ZePLAN | 15:12:00 | 0 comments



Papa Francis amekaribishwa Uganda na Rais Museveni
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Uganda kwenye sehemu ya pili ya ziara yake Afrika.


Papa amelakiwa katika uwanja wa ndege wa Entebbe na Rais wa Uganda Yoweri Museveni.
Baadaye, Papa anatarajiwa kuelekea ikulu ya Rais mjini Entebbe, kisha ahutubie maafisa wa serikali na mabalozi humo ikuluni.
Baadaye atawahutubia walimu.
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir pia yumo nchini Uganda kukutana na Papa Francis.
Mwandishi wa BBC Catherine Byaruhanga anasema Vatican imevutiwa na ukosefu wa usalama pamoja na uhusiano kati ya Sudan na Sudan Kusini.
Wawili hao watakutana katika ikulu ya rais wa Uganda mjini Entebbe

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

Related posts:

If you enjoyed this article, subscribe to receive more just like it.

Subscribe via RSS Feed

Privacy guaranteed. We'll never share your info.

0 comments

Newer Post Older Post

NEW MOVIE SINGLE ZERO THIS MAY

MR A.F.NGOMA

MR A.F.NGOMA
FOUNDER AND CHIEF OF OCHUMKWANJA

LIKE PAGE ON FACEBOOK

POPULAR POSTS

  • MWANAFUNZI WA KIUME ANAEPATA HEDHI
  • TANZANIA:SERENGETI BOYS YATOKA SARE NA TIMU YA VIJANA WA GHANA(BLACK STARLETS)
  • MAMBO YAWA MAZITO DODOMA
  • NAIBU WAZIRI DK KINGWANGALLA ATUMBUA AFANYA ZIARA YAKUSTUKIZA KWENYE OFISI ZA WIZARA YA AFYA

Total Pageviews

Sponsor

Category 1
Category 2
LIKE
Category 4
Category 3

ADVERTISE HERE

  • FACEBOOK
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2015
  • TANZANIA INSTUTE OF ACCOUNTANCY
  • MWANANCHI
NGOMA QUALITY & SERVICE. Powered by Blogger.
  • LIVESCORE
  • AJIRA ZETU

Latest News

Ochu Mkwanja © 2012 | Design by Kang Ismet - Bloggerized by Free Blogger Templates Gallery Supported by Free Classified Ads