.

.

KIFO CHA MCHUKUA ALIEKUWA MGUNDUZI WA BARUA PEPE(EMAIL) NA NDIO MGUNDUZI WA ALAMA "@" KWENYE BARUA PEPE

ZePLAN | 23:48:00 | 0 comments

 
Ray Tomlinson, raia wa Marekani, ambaye ndiye aliyevumbua utumaji wa barua pepe kwa Kiingereza e-mail amefariki dunia. 
mail (2)
 Tomlinson amefariki akiwa na umri wa miaka 74. Mgunduzi huyu aliibuka na wazo la kutuma ujumbe wa kieletroniki kutoka mtu mmoja hadi mwingine kupitia mitandao mbali mbali mwaka 1971.

 Aliandika ujumbe wa kwanza wa barua pepe wakati akifanya kazi Boston, kama Mhandisi wa kompyuta. Image copyright AP Pia alikuwa mwanzilishi wa matumizi ya alama "at"(@)kuwa ndio alama kuu ya utumaji wa barua pepe. 
ray-tomlinson-color

Wakati wa uhai wake Tomlinson alisema hawezi kukumbuka barua pepe yake ya kwanza ilielezea nini.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments